TAARIFA KWA UMMATAARIFA KWA UMMA

HATUA DHIDI YA WATOA HUDUMA KWA KUSHINDWA KUZINGATIA UTARATIBU WA USAJILI WA NAMBA/LAINI ZA SIMU ZA KIGANJANI.

UTANGULIZI.

Katika kutimiza majukumu yake ya udhibiti wa Sekta ya mawasiliano nchini, kama ilivyobainishwa katika sheria Mawasiliano ya Kielekroniki na Posta ya mwaka 2010, sura Na. 306 ya sheria za Tanzania na Kanuni za Leseni za Mawasiliano ya Kielekroniki na Posta za mwaka 2011 kuhusu usajili wa namba/laini za simu za kiganjani, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliendesha zoezi la ukaguzi juu ya uzingatiaji wa taratibu za usajili wa namba za simu. Soma taarifa nzima hapa

Contact Details

20 Sam Nujoma Road
+255 22 2199760-8 More +

Staff Mail

isotext

Connect with us

Useful Links

  • used jeep for sale canada