TAARIFA YA MKUTANO JUU YA  MAPENDEKEZO YA VIWANGO VYA GHARAMA ZA MAINGILIANO YA MITANDAO YA  SIMU NCHINI.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inawakaribisha wadau wote wa sekta ya Mawasiliano nchini na wananchi kwa ujumla katika mkutano wa hadhara kuhusu viwango vya gharama halisi vya maingiliano  baina ya mitando ya simu nchini . Mkutano huu wa wazi utafanyika tarehe 12 Desemba, 2017 kuanzia saa 3 asubuhi katika Ofisi za TCRA zilizopo Mawasiliano Towers, Ghorofa ya Tatu, Barabara ya Sam Nujoma, S.L.P 474 14414 Dar es Salaam.Soma zaidi hapa ...

Contact Details

20 Sam Nujoma Road
+255 22 2199760-8 More +

Staff Mail

isotext

Connect with us

Useful Links

  • used jeep for sale canada