Matokeo ya Upimaji wa Ubora wa Huduma za Mawasiliano ya Simu Tanzania kwa Kipindi cha Mwezi Januari Hadi Machi, 2023
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.