Maombi yatatathminiwa kwa msingi wa vigezo vilivyotajwa kulingana na uzito
- Mpango wa Kiufundi na Kasi ya Uanzishaji
A. Aina ya Teknolojia Iliyochaguliwa
B. Uanzishaji wa Mtandao
I. Eneo na watu watakaohudumiwa
II. Uwezo wa Mawasiliano (GoS)
III. Ubora wa Huduma za Mtandao (QoS)
IV. Mpango wa Uundaji wa Mtandao
V. Mahitaji ya Masafa ya Redio
C. Sifa za Mtandao
I. Usanifu Majengo wa Mtandao
II. Vitu na huduma zinazotolewa
D. Mpango na Uboreshaji wa Mtandao
E. Mkakati wa Uendeshaji na Uendelezaji wa Mtandao
I. Mafunzo na shughuli za wafanyakazi
II. Vipuri, Vifaa na Usambazaji wa programu ya kompyuta
F. Mpango wa Mfumo wa Taarifa
G. Njia za Ulipaji wa Bill - Mpango wa Masoko
I. Huduma itakayotolewa
II. Makadirio ya Idadi ya Wateja
III. Mkakati wa Huduma kwa Mteja - Mpango wa Fedha
I. Taarifa ya Uendeshaji wa Bajeti
II. Waraka Mizania Uliowekewa Bajeti
III. Mapato Yaliyowekewa Bajeti - Mpango wa Uwekezaji
I. Mkakati wa Fedha wa Mradi
II. Uwiano wa Mtaji wa Uwekezaji (Hisa: Deni)
III. Mkakati wa Maendeleo ya Rasilimali Watu - Wasifu wa Kampuni
I. Uandikishwaji wa Kampuni
II. Kampuni zenye Hisa au wajumbe wa Bodi
III. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni
IV. Benki za kampuni
V. Wakaguzi na tarehe ya mwisho ya Mahesabu Yaliyokaguliwa - Uwekezaji wa Ndani
I. Asilimia za Uwekezaji wa Ndani - Ufuatiliaji wa Kumbukumbu na Uzoefu
I. Uwekezaji katika Mawasiliano ya Kielektroniki katika nchi nyingine
II. Umahiri wa wafanyakazi - Ratiba ya Programu
I. Ubora na aina
II. Manufaa kwa tasnia ya utangazaji ya ndani
III. Manufaa kwa uchumi wa ndani
IV. Upanuzi wa uchaguzi wa programu
V. Matokeo ya manufaa ya jumla katika maendeleo ya tasnia ya utangazaji