JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Dawati la Ushauri

Je unahitaji Ushauri kutoka TCRA?

Wasiliana nasi kupata ushauri au kuomba nafasi ya kufika TCRA kwa ajili ya mazungumzo zaidi kupitia;

Baruapepe: dawatilahuduma@tcra.go.tz

Simu:- 0800008272

Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.

Tuma Mrejesho na Malalamiko!