[{"data":1,"prerenderedAt":-1},["ShallowReactive",2],{"news-detail-sw-ujumbe-wa-mkurugenzi-mkuu-dkt-jabiri-k-bakari-katika-kuadhimisha-siku-ya-mawasil":3,"news-neighbors-sw-ujumbe-wa-mkurugenzi-mkuu-dkt-jabiri-k-bakari-katika-kuadhimisha-siku-ya-mawasil":189,"related-news-sidebar":202},{"id":4,"documentId":5,"title":6,"slug":7,"introduction":8,"content":9,"publishedDate":131,"readingTime":132,"createdAt":133,"updatedAt":134,"publishedAt":135,"locale":136,"localizations":137,"cover":142},240,"vcf4f8ftcg558qc3phjvunyz","Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu, Dkt. Jabiri K. Bakari katika Kuadhimisha Siku ya Mawasiliano na Jamii ya Habari Duniani","ujumbe-wa-mkurugenzi-mkuu-dkt-jabiri-k-bakari-katika-kuadhimisha-siku-ya-mawasil","Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  inajumuika na wadau wengine duniani kuadhimisha siku ya Mawasiliano na Jamii Ya Habari Duniani (World Telecommunication and Information Society Day - WTISD) katika siku hii ya tarehe 17 Mei 2024. Maadhimisho haya yanayofanyika kila mwaka siku ya tarehe 17 Mei ni sehemu ya kumbuk…",[10,52,61,72,88,104,113,121],{"type":11,"children":12},"paragraph",[13,20,22,27,29,34,36,39,41,45,47,50],{"url":14,"type":15,"children":16},"https://www.tcra.go.tz","link",[17],{"text":18,"type":19},"Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)","text",{"text":21,"type":19}," inajumuika na wadau wengine duniani kuadhimisha siku ya Mawasiliano na Jamii Ya Habari Duniani (World Telecommunication and Information Society Day - WTISD) katika siku hii ya tarehe 17 Mei 2024. Maadhimisho haya yanayofanyika kila mwaka siku ya tarehe 17 Mei ni sehemu ya kumbukumbu ya siku ya kusainiwa mkataba ulioasisi ",{"url":23,"type":15,"children":24},"https://www.un.org/en",[25],{"text":26,"type":19},"Shirika la Umoja wa Mataifa",{"text":28,"type":19}," linalosimamia Mawasiliano (",{"url":30,"type":15,"children":31},"https://www.itu.int/en/Pages/default.aspx",[32],{"text":33,"type":19},"ITU",{"text":35,"type":19},"). ",{"url":30,"type":15,"children":37},[38],{"text":33,"type":19},{"text":40,"type":19}," ilianzishwa kuwezesha mataifa kuunganishwa katika mitandao ya mawasiliano na kusimamia mgawanyo wa masafa ya redio kimataifa na obiti za setilaiti. Majukumu mengine ni kuendeleza viwango vya kiufundi vinavyohakikisha mitandao na teknolojia inaunganishwa bila vikwazo, na kuboresha kupatikana na kuchukuliwa kwa matumizi kwa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa jamii ambazo hazihudumiwi ipasavyo katika maeneo yote ulimwenguni. ",{"url":14,"type":15,"children":42},[43],{"text":44,"type":19},"TCRA",{"text":46,"type":19}," kama msimamizi wa Sekta ya Mawasiliano/TEHAMA nchini inajivunia kuwa sehemu ya kufanikisha malengo ya kuasisiwa kwa ",{"url":30,"type":15,"children":48},[49],{"text":33,"type":19},{"text":51,"type":19},". ",{"type":11,"children":53},[54,56,59],{"text":55,"type":19},"Kaulimbiu ya mwaka huu – \"",{"bold":57,"text":58,"type":19},true,"Ubunifu wa Kidijiti kwa Maendeleo Endelevu\"",{"text":60,"type":19}," ni kauli mbiu inayolenga kuwa na mustakabali jumuishi na endelevu katika uchumi wa kidijiti kupitia ubunifu. Ubunifu wa kidijiti ni nguzo muhimu kwenye uchumi wa kidijiti ili kuendana na maendeleo ya kiuchumi na maendeleo ya kimataifa. Katika mazingira ya kisasa ya kidijitali yanayobadilika kwa kasi, ubunifu huwezesha kuzitambua fursa zilizopo na kutatua changamoto zinazoikabili jamii na kutoa majawabu yenye tija kupitia TEHAMA. ",{"type":11,"children":62},[63,65,70],{"text":64,"type":19},"Kauli mbiu ya mwaka huu ni wito wa kuwepo jitihada za maksudi za kuweka mazingira ya kuchagiza ubunifu wa kidijiti nchini kuendana na kasi ya maendeleo ya Dunia ili kufikia ",{"url":66,"type":15,"children":67},"https://www.un.org/sustainabledevelopment",[68],{"text":69,"type":19},"Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa",{"text":71,"type":19}," (UN Sustainable Development Goals) ifikapo mwaka 2030. ",{"type":11,"children":73},[74,76,81,83,86],{"text":75,"type":19},"Kwa kutambua umuhimu wa Ubunifu, TCRA kwa kushirikiana na ",{"url":77,"type":15,"children":78},"https://costech.or.tz",[79],{"text":80,"type":19},"Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)",{"text":82,"type":19}," inaunga mkono kazi za ubunifu wa kiteknolojia kwa kutoa rasilimali za mawasiliano kama vile rasilimali za namba, masafa, na Kikoa cha Dot tz bure kwa wabunifu mbalimbali (start-ups) ambao wanahitaji kujaribu huduma zao za kibunifu kwa kipindi cha miezi mitatu (siku 90) ili kuwawezesha na kuinua mawazo ya bunifu mbalimbali. Kwa mfano ",{"url":14,"type":15,"children":84},[85],{"text":44,"type":19},{"text":87,"type":19}," imetenga rasilimali namba *146*XX ambayo inatolewa bure kwa majaribio ya wabunifu. TCRA inaendelea kuangalia na kuunda mazingira yanayoweza kusaidia zaidi mzunguko wa maisha ya start-ups kuelekea kuwa biashara huru zenye mafanikio.",{"type":11,"children":89},[90,92,95,97,102],{"text":91,"type":19},"Aidha, katika kuweka mazingira ya ubunifu kwa wanafunzi ",{"url":14,"type":15,"children":93},[94],{"text":44,"type":19},{"text":96,"type":19},", inaratibu ",{"url":98,"type":15,"children":99},"https://digitalclubs.tz",[100],{"text":101,"type":19},"klabu za kidijiti",{"text":103,"type":19}," kuanzia shule za awali, za msingi, sekondari , vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini zenye lengo la kuhimiza wanafunzi kujifunza na kuyapenda masomo ya STEM (sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati) ambayo yana umuhimu mkubwa katika kukuza ujuzi wa uchumi wa kidijiti unaohitajika ili kufanikiwa kujengaTanzania ya kidijiti. ",{"type":11,"children":105},[106,108,111],{"text":107,"type":19},"Vile vile ",{"url":14,"type":15,"children":109},[110],{"text":44,"type":19},{"text":112,"type":19}," inashirikiana na Watoa Huduma katika kuwawezesha wabunifu kufanikisha bunifu zao kupitia mifumo ya TEHAMA(platforms).",{"type":11,"children":114},[115,119],{"url":14,"type":15,"children":116},[117],{"text":118,"type":19},"Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania",{"text":120,"type":19}," inatambua mchango wa watoa huduma na wadau wote wa Sekta ya mawasiliano na hivyo inahimiza kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya mawasiliano na TEHAMA na kutoa huduma mbalimbali za TEHAMA ili kuiwezesha nchi kuwa na miundombinu na mazingira imara ya mawasiliano yenye kuwezesha mabadiliko ya kidijiti na kuchochea ubunifu nchini.",{"type":11,"children":122},[123,125,129],{"text":124,"type":19},"Nawatakia Watanzania wote, Wadau wa Sekta ya Mawasiliano na jamii ya Habari na Mataifa Wanachama wa ",{"url":30,"type":15,"children":126},[127],{"text":128,"type":19},"Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU)",{"text":130,"type":19},", siku ya Mawasiliano na Jamii Ya Habari Duniani (WTISD) yenye kumbukumbu nzuri kwa mwaka wa 2024.","2024-05-16",2.65,"2024-05-17T05:18:14.000Z","2024-05-29T05:26:26.000Z","2026-06-02T23:41:58.337Z","sw",[138],{"id":139,"documentId":5,"slug":140,"locale":141},239,"statement-of-the-director-general-dr-jabiri-k-bakari-on-world-telecommunication","en",{"id":143,"documentId":144,"url":145,"alternativeText":146,"formats":147,"width":187,"height":188},58,"bcmfvym6at492dd0kof96r1r","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2024/mamlaka-website/news/covers/eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235.jpeg",null,{"large":148,"small":160,"medium":169,"thumbnail":178},{"ext":149,"url":150,"etag":151,"hash":152,"mime":153,"name":154,"path":155,"size":156,"width":157,"height":158,"sizeInBytes":159},".jpeg","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2024/mamlaka-website/news/covers/large_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235.jpeg","28881623385d5fff9c535e8102b7b0fc","large_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235","image/jpeg","large_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870.jpeg","2024/mamlaka-website/news/covers",52.94,1000,563,52937,{"ext":149,"url":161,"etag":162,"hash":163,"mime":153,"name":164,"path":155,"size":165,"width":166,"height":167,"sizeInBytes":168},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2024/mamlaka-website/news/covers/small_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235.jpeg","b5b7f96adb0c710a2c98c939bfb579fe","small_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235","small_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870.jpeg",14.37,500,281,14374,{"ext":149,"url":170,"etag":171,"hash":172,"mime":153,"name":173,"path":155,"size":174,"width":175,"height":176,"sizeInBytes":177},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2024/mamlaka-website/news/covers/medium_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235.jpeg","19cd2d0a32a63f155833edc7bae35696","medium_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235","medium_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870.jpeg",30.38,750,422,30377,{"ext":149,"url":179,"etag":180,"hash":181,"mime":153,"name":182,"path":155,"size":183,"width":184,"height":185,"sizeInBytes":186},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2024/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235.jpeg","a176477162a0dca901b6d1ed0d7890fc","thumbnail_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870_e84b27b235","thumbnail_eabad86832c46b0cdd427a7e55093870.jpeg",4.92,245,138,4917,3256,1832,{"prev":190,"next":196},{"id":191,"documentId":192,"title":193,"slug":194,"createdAt":195},234,"bgo1ev5ly887oxftucbvbz1m","Ujumbe wa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari katika Kuadhimisha Siku ya Mawasiliano na Jamii ya Habari Duniani","ujumbe-wa-waziri-wa-habari-mawasiliano-na-teknolojia-ya-habari-katika-kuadhimish-sw","2024-05-17T05:23:07.000Z",{"id":197,"documentId":198,"title":199,"slug":200,"createdAt":201},246,"axr8tf4q6nkf6jvgesizjdeu","Wanafunzi wabuni Mfumo wa kuwezesha malipo ya umeme moja kwa moja kuingia kwenye mita","wanafunzi-wabuni-mfumo-wa-kuwezesha-malipo-ya-umeme-moja-kwa-moja-kuingia-kwenye","2024-05-09T14:04:12.000Z",[203,319,463,558,653,758,817],{"id":204,"documentId":205,"title":206,"slug":207,"introduction":208,"content":209,"publishedDate":269,"readingTime":270,"createdAt":271,"updatedAt":272,"publishedAt":273,"locale":136,"cover":274},1688,"e1hv3w2i3xqhluv9onsmxwb5","WADAU RUKWA WATAKA TCRA KUSHIRIKIANA NA WATOA HUDUMA ZA MITANDAO KUKABILI UTAPELI WA KIMTANDAO","wadau-rukwa-wataka-tcra-kushirikiana-na-watoa-huduma-za-mitandao-kukabili-utapeli-wa-kimtandao","Wadau mbalimbali mkoani Rukwa wamekutana katika mkutano maalum uliojadili changamoto ya utapeli wa kimtandao uliopo mkoani humo, huku wakitoa mapendekezo kadhaa yenye lengo la kudhibiti vitendo hivyo vinavyoleta athari kwa wananchi kiuchumi na kijamii.",[210,214,217,221,225,229,233,237,241,245,249,253,257,261,265],{"type":11,"children":211},[212],{"text":213,"type":19},"Sumbawanga",{"type":11,"children":215},[216],{"text":208,"type":19},{"type":11,"children":218},[219],{"text":220,"type":19},"Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa na washiriki wa mkutano huo ni kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kukaa na makampuni ya watoa huduma za mawasiliano ya simu na intaneti ili kuangalia namna bora ya kuimarisha zoezi la usajili wa laini za simu ambao ndio limekuwa chanzo kikubwa cha uwepo wa laini zinazotumika kwaajili ya utapeli mtandaoni.",{"type":11,"children":222},[223],{"text":224,"type":19},"Akifungua mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mheshimiwa Peter Lijualikali ameitaka TCRA kuongeza ufuatiliaji wa masuala ya utapeli wa kimtandao kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo hasa kwa mkoa wa Rukwa. Pia ameiasa jamii kujenga utamaduni wa kuuliza, kuhakiki na kuripoti matukio ya uhalifu kwa vyombo vya ulinzi na usalama ili hatua mahususi zichukuliwe haraka.",{"type":11,"children":226},[227],{"text":228,"type":19},"Awali Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi Peter Mwasalyanda amesema Kwa mujibu wa ripoti ya hali ya sekta ya mwasiliano nchini inayoishia Juni 2026 inaonesha kuwa mkoa wa Rukwa na mataukio 2495 (sawa na asilimia 34 ya matukio yote nchi nzima) na mkoa Morogoro ukiwa una matukio ya ulaghai yaliyoripotiwa 2129 (sawa na asilimia 29 ya matukio yote nchi nzima). Kwa mkoa wa Rukwa wilaya inayoongoza kwa matukio ya utapeli ni Sumbawanga ikiwa na matukio 1,330, ikifuatiwa na wilaya ya Kalambo yenye matukio 612 na mwisho ni Nkasi yenye matukio yaliyoripotiwa 553.",{"type":11,"children":230},[231],{"text":232,"type":19},"“TCRA imekuwa ikitoa hizi taarifa za takwimu ili wadau wanaohusika na Masuala ya Uhalifu pamoja na watoa huduma waweze kutambua maeneo yanayopaswa kupewa kipaumbele na kuyafanyia kazi” Mkurugenzi Mkuu TCRA.",{"type":11,"children":234},[235],{"text":236,"type":19},"Wawakilishi kutoka kamati ya maadili ya mkoa wa Rukwa walipendekeza kuwepo kwa muda wa saa 24 kabla ya mtu kuruhusiwa kusajili laini nyingine ya simu huku pia wakilitaka Bunge kutunga sheria itakayoweka wazi adhabu kwa watu wanaojihusisha na utapeli wa kimtandao.",{"type":11,"children":238},[239],{"text":240,"type":19},"Kwa upande wao viongozi wa dini walisisitiza umuhimu wa malezi bora kwa jamii ili kuwa na vijana wanaojiepusha na shughuli zisizo halali huku wakiliomba jeshi la polisi pamoja na TCRA kuweka wazi taarifa za matapeli na kutoa mrejesho kwa wananchi wanaporipoti matukio ya utapeli. Walieleza kuwa upatikanaji wa taarifa za watapeli kwa wakati unaweza kusaidia kupunguza kasi ya vitendo hivyo.",{"type":11,"children":242},[243],{"text":244,"type":19},"Akizungumza wakati wa mkutano huo Meneja wa Ufuatiliaji na Utekelezaji TCRA Mhandisi Mwesiga Barongo alisema hatua zilizochukuliwa na TCRA katika kukabiliana na utapeli mtandaoni ni pamoja na kuweka utaratibu wa usajili wa laini kwa njia ya biometriki inayosaidia kumtambua mtu anayesajili laini ya simu, Kufungia namba ya simu, IMEI na kitambulisho cha taifa – kwa laini zinazobainika kuhusika na utapeli, kuweka Muda wa dakika 30 kabla ya usajili mwingine wa laini ya simu ili kudhibiti udanganyifu na pia kuwapa nafasi wale wenye nia njema ya kusajili laini kwa matumizi binafsi.",{"type":11,"children":246},[247],{"text":248,"type":19},"Hatua nyingine ni Kushirikiana na watoa huduma kuboresha taratibu za usajili wa laini za simu na kuendesha Kampeni za elimu kwa umma ili kuhamasisha jamii kuhusu kuripoti na kujilinda dhidi ya utapeli wa kimtandao.",{"type":11,"children":250},[251],{"text":252,"type":19},"Kwa upande wake, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa ingawa sheria zipo, bado kuna umuhimu mkubwa wa kushirikisha jamii katika mapambano dhidi ya utapeli wa kimtandao, hii ikiwa ndiyo sababu ya kuendelea kutoa elimu kwa umma. Ilielezwa kuwa kuna takribani sheria tano zinazosimamia masuala ya mawasiliano na uhalifu wa kimtandao nchini, na kwamba kwa kushirikiana, jamii inaweza kutokomeza tatizo hili.",{"type":11,"children":254},[255],{"text":256,"type":19},"Mkuu wa Jeshi la Polisi Rukwa SACP Shadrck Masija aliwataka wananchi kuripoti mara moja endapo watapoteza mali zao, ikiwemo laini za simu na simu, ili kujiepusha na usumbufu endapo vifaa hivyo vitaingia mikononi mwa matapeli. Amehimiza wananchi kuepuka kununua simu kutoka kwa watu wasiojulikana bila kujiridhisha chanzo cha simu hiyo, kwani inaweza kuwa imetumika kutekeleza uhalifu — jambo linaloweza kuwaingiza wananchi wasio na hatia katika matatizo ya kisheria.",{"type":11,"children":258},[259],{"text":260,"type":19},"Jeshi hilo pia lilieleza umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wa kata na serikali za mitaa ili kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu masuala ya utapeli, ikiwemo umuhimu wa kutoa ushahidi mahakamani, jambo ambalo baadhi ya wananchi bado wanaliogopa licha ya umuhimu wake.",{"type":11,"children":262},[263],{"text":264,"type":19},"\"Tushirikiane kutoa taarifa za haraka pindi tunapobaini vitendo vya utapeli, na kuendelea kutoa elimu kwa umma\" SACP Shadrack Masija.",{"type":11,"children":266},[267],{"text":268,"type":19},"Washiriki wa mkutano walisisitiza kuwa elimu kuhusu utapeli wa kimtandao inapaswa kuwafikia wananchi wote, hususan wale walioko vijijini, ili kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na uelewa wa kutosha kujilinda dhidi ya vitendo hivyo vinavyoendelea kuathiri jamii kiuchumi na kijamii.","2026-09-10",3.59,"2026-09-10T14:01:26.500Z","2026-09-10T14:02:36.909Z","2026-09-10T14:02:36.950Z",{"id":275,"documentId":276,"url":277,"alternativeText":146,"formats":278,"width":317,"height":318},1955,"i7rhgvggovose235wlzkkyh6","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/21212_d51c93d6bf.jpeg",{"large":279,"small":289,"medium":298,"thumbnail":307},{"ext":149,"url":280,"etag":281,"hash":282,"mime":153,"name":283,"path":284,"size":285,"width":157,"height":286,"sizeInBytes":287,"provider_metadata":288},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_21212_d51c93d6bf.jpeg","7365f4b0ab366baf65892660cb54a345","large_21212_d51c93d6bf","large_21212.jpeg","2026/mamlaka-website/news/covers",83.32,692,83323,{"s3Path":284},{"ext":149,"url":290,"etag":291,"hash":292,"mime":153,"name":293,"path":284,"size":294,"width":166,"height":295,"sizeInBytes":296,"provider_metadata":297},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_21212_d51c93d6bf.jpeg","bdaff2446e2349049e7db6c69eb04795","small_21212_d51c93d6bf","small_21212.jpeg",28.03,346,28032,{"s3Path":284},{"ext":149,"url":299,"etag":300,"hash":301,"mime":153,"name":302,"path":284,"size":303,"width":175,"height":304,"sizeInBytes":305,"provider_metadata":306},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_21212_d51c93d6bf.jpeg","d3f466b2909911e62da0ef91e42258b8","medium_21212_d51c93d6bf","medium_21212.jpeg",52.06,519,52061,{"s3Path":284},{"ext":149,"url":308,"etag":309,"hash":310,"mime":153,"name":311,"path":284,"size":312,"width":313,"height":314,"sizeInBytes":315,"provider_metadata":316},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_21212_d51c93d6bf.jpeg","acda4c5a3c74e6c38c9f9c5bdf9735fe","thumbnail_21212_d51c93d6bf","thumbnail_21212.jpeg",8.77,226,156,8772,{"s3Path":284},5634,3899,{"id":320,"documentId":321,"title":322,"slug":323,"introduction":324,"content":325,"publishedDate":421,"readingTime":422,"createdAt":423,"updatedAt":424,"publishedAt":425,"locale":136,"cover":426},1682,"pikr51yrdpmbttwlxxfsqljf","Tanzania Yaibuka Mshindi, ya Ng'ara Mashindano ya Kimataifa-Hisabati","tanzania-yaibuka-mshindi-ya-ng-ara-mashindano-ya-kimataifa-hisabati","MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inazidi kuunga mkono mipango ya kitaifa inayohamasisha matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) pamoja na masomo ya sayansi na hisabati.",[326,330,333,337,341,345,349,353,357,361,365,369,373,377,381,385,389,393,397,401,405,409,413,417],{"type":11,"children":327},[328],{"text":329,"type":19},"Na Mwandishi Wetu",{"type":11,"children":331},[332],{"text":324,"type":19},{"type":11,"children":334},[335],{"text":336,"type":19},"Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi Peter Mwasalyanda, alisema mwishoni mwa wiki kuwa klabu 800 za kidijiti zimeanzishwa sehemu mbalimbali nchini na kuongeza kuwa Tanzania imezidi kuwa kinara wa hisabati Afrika na kimataifa.",{"type":11,"children":338},[339],{"text":340,"type":19},"Wanafunzi wa Tanzania wamekuwa wakifanya vizuri katika mashindano ya kimataifa ya hisabati ambamo TCRA inafadhili ushiriki wao, ameongeza. Mashindano hayo ni ya Olimpiki ya Hisabati ya Afrika (PAMO) na Olimpiki ya Kimataifa ya Hisabati (IMO).",{"type":11,"children":342},[343],{"text":344,"type":19},"TCRA inafadhili ushiriki wa Tanzania katika mashindano ya hisabati ya shule za sekondari Afrika na  na Kimataifa, pamoja na klabu mashuleni zinazokuza jumuhiko la wavumbuzi wa teknolojia ya kidijiti.",{"type":11,"children":346},[347],{"text":348,"type":19},"Mamlaka hiyo pia inafadhili baadhi ya  shughuli za  Chama cha Hisabati Tanzania (TMA/CHAHITA), ambacho huratibu mashindano hayo.",{"type":11,"children":350},[351],{"text":352,"type":19},"Mhandisi Mwasalyanda aliwapongeza wanafunzi sita kwa kupeperusha vema bendela ya Taifa Kimataifa kwa Ushindi wao wa kipekee katika mashindano ya PAMO ya mwaka 2026 yaliyofanyika Yamoussoukro, Ivory Coast mwezi uliopita, pamoja na mashindano ya hivi karibuni ya IMO yaliyofanyika Shanghai, China.",{"type":11,"children":354},[355],{"text":356,"type":19},"Akiongea na wandishi wahabari walipo wasili washindi Uwanja wandege Jijini Dar Es salaam mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa Chama cha Hisabati Tanzania Dkt. Said Sima amebainisha kwamba Washiriki wa Tanzania katika mashindano ya Shanghai walipata alama za ziada, jambo lililoinua nafasi ya nchi kimataifa. Walipata alama 22 ikilinganishwa na alama 14 walizopata wawakilishi mwaka jana.",{"type":11,"children":358},[359],{"text":360,"type":19},"Dkt. Sima alisema Kule Shanghai, Bi. Lightness Pigiliano Ngiliule kutoka Shule ya Sekondari St. Francis alitunukiwa medali kama ‘Malkia” wa hisabati barani Afrika. Alipata taji hili akiwa Yamoussoukro.",{"type":11,"children":362},[363],{"text":364,"type":19},"Lightness alikuwa miongoni mwa wanafunzi sita wa Kitanzania walioshiriki shindano la hisabati barani Afrika PAMO ya mwaka huu. Wengine ni Angel Margaret Zalwango (Shule ya Sekondari White Lake), Sweetbert John Nene (Ilboru), Nyandahu Theophil Leonard (Kibaha), Joyce Pascali Sulumo (Kilakala) na Arqam Yassir Salim (Shule ya Rehema Wakfu).",{"type":11,"children":366},[367],{"text":368,"type":19},"Dkt. Sima ambaye ni mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar Ees salaam amesama Wanafunzi hao sita walishinda na kurudi nyumbani na jumla ya medali 9 katika mashindano ya PAMO kutoka Yamoussoukro, Ivory Coast , ambapo Tanzania  ilishika nafasi ya 5 kati ya nchi 26 zilizoshiriki, mwezi uliopita. ",{"type":11,"children":370},[371],{"text":372,"type":19},"Wavulana watatu walishinda medali moja kila mmoja, huku wasichana watatu wakishinda medali mbili kila mmoja katika kundi la jumla. Wasichana hao walishinda medali za ziada katika kundi maalum la wasichana.",{"type":11,"children":374},[375],{"text":376,"type":19},"Sayansi na Hisabati ni nguzo muhimu katika kujenga uchumi wa kidijitali. Zinapojumuishwa na teknolojia na uhandisi, masomo haya hujulikana kama STUH/STEM.",{"type":11,"children":378},[379],{"text":380,"type":19},"SUH/STEM ina manufaa kwa taifa na kwa wanafunzi binafsi. Mbali na kuwezesha uchumi wa kidijiti, masomo haya huwapa wanafunzi maarifa na ujuzi wa kujenga taaluma katika mazingira ya TEHAMA yanayobadilika kila mara. ",{"type":11,"children":382},[383],{"text":384,"type":19},"Wachambuzi wanasema kuwa  maendeleo ya teknolojia yataondoa ajira nyingi zilizopo sasa ndani ya miaka michache ijayo.",{"type":11,"children":386},[387],{"text":388,"type":19},"Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi Mwasalyanda ameeleza kwamba Klabu za kidijiti, zinaanzishwa kuanzia shule ya awali hadi ngazi ya vyuo vikuu kwa madhumuni ya kuwawezesha wanafunzi kuelewa teknolojia za kidijitali na matumizi yake ya vitendo kuanzia umri mdogo. ",{"type":11,"children":390},[391],{"text":392,"type":19},"Klabu hizi zinakuza ujuzi wa kidijitali na kujenga misingi ya  utumiaji wa teknolojia ya kidijiti katika sekta mbalimbali.",{"type":11,"children":394},[395],{"text":396,"type":19},"Klabu hizo ni chimbuko la wavumbuzi wanao leta suluhu za Kitehama kwa changamoto mbali mbali kwa Jamii,  kupitia vijana wanaoshiriki katika masuala ya STUH/TEHAMA na mawasiliano. Shughuli ndani ya klabu hizi ni pamoja na mijadala na mashindano kuhusu mada mbalimbali.",{"type":11,"children":398},[399],{"text":400,"type":19},"Mkakati wa Uchumi wa Kidijitali wa Tanzania (2024-2034) unasisitiza hitaji la kuongeza ufahamu wa STUH/STEM kutoka ngazi za chini za elimu. Unawahimiza wadau kukuza ujuzi wa kidijitali na ujuzi kama vichocheo muhimu vya uchumi wa kidijitali.",{"type":11,"children":402},[403],{"text":404,"type":19},"Wataalamu wa elimu wanakadiria kuwa asilimia 25 pekee ya wanafunzi katika nchi nyingi za Kiafrika hufuata nyanja za kazi zinazohusiana na STUH/STEM katika elimu ya juu.",{"type":11,"children":406},[407],{"text":408,"type":19},"Vikwazo ni pamoja na vifaa vya kutosha, walimu wachache na dhana potofu kuhusu matatizo ya STEM. Shule nyingi hazina vifaa vya vitendo, ikiwa ni pamoja na maabara zenye vifaa.",{"type":11,"children":410},[411],{"text":412,"type":19},"Mhandishi Mwasalyanda alieleza kuwa mpango wa TCRA wa kuhamasisha uanzishaji klabu za kidijhiti ni sehemu ya utaratibu wake wa kuainisha mipango yake na mikakati na sera za kitaifa. Mipango hiyo ni pamoja na Mpango wa tatu wa Maendeleo wa miaka mitano, Dira ya Maendeleo Tanzania kufikia 2050 na Sera mbalimbali za Sekta ya Mawasiliano.",{"type":11,"children":414},[415],{"text":416,"type":19},"Alisema kuwa pamoja na vilabu, TCRA inahamasisha na kuendeleza ubunifu kwenye TEHAMA na mawasiliano kwa ujumla. Inawapatia wabunifu, bila malipo na kwa muda maalum, raslimali muhimu za mawasiliano ili kuwawezesha kujaribu miradi yao kabla ya kuanza kuitoa kama huduma. ",{"type":11,"children":418},[419],{"text":420,"type":19},"Raslimali hizo ni pamoja na masafa ya mawasiliano bila waya, namba na misimbo, vikoa vya Tanzania kwa ajili ya huduma za intaneti na postikodi.","2026-08-04",3.83,"2026-08-04T10:56:15.016Z","2026-08-04T10:56:16.282Z","2026-08-04T10:56:16.317Z",{"id":427,"documentId":428,"url":429,"alternativeText":146,"formats":430,"width":461,"height":462},1939,"gfw6xjv9ssaqdzhfalwx1km8","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg",{"large":431,"small":439,"medium":447,"thumbnail":454},{"ext":149,"url":432,"etag":433,"hash":434,"mime":153,"name":435,"path":284,"size":436,"width":157,"height":437,"sizeInBytes":438},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","67223dc55a45ae58539904f6a9902414","large_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","large_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",126.26,667,126259,{"ext":149,"url":440,"etag":441,"hash":442,"mime":153,"name":443,"path":284,"size":444,"width":166,"height":445,"sizeInBytes":446},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","78a4e61b89ee75f97afeca3852fb28e5","small_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","small_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",41.36,333,41363,{"ext":149,"url":448,"etag":449,"hash":450,"mime":153,"name":451,"path":284,"size":452,"width":175,"height":166,"sizeInBytes":453},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","3efabd64e7c1e575e087aa8293c9bbca","medium_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","medium_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",79.78,79776,{"ext":149,"url":455,"etag":456,"hash":457,"mime":153,"name":458,"path":284,"size":459,"width":191,"height":314,"sizeInBytes":460},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","b14b518d77cd7f314be2f194fa09c72b","thumbnail_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","thumbnail_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",11.64,11639,1080,720,{"id":464,"documentId":465,"title":466,"slug":467,"introduction":468,"content":469,"publishedDate":517,"readingTime":518,"createdAt":519,"updatedAt":520,"publishedAt":521,"locale":136,"cover":522},1683,"neu2wwjcryynhyagl21fe0x2","Tanzania yaibuka Kidedea tena Mashindano ya Hisabati Afrika","tanzania-yaibuka-kidedea-tena-mashindano-ya-hisabati-afrika","WANAFUNZI Sita wa shule za sekondari Tanzania wamenyakua jumla ya medali tisa katika mashindano ya Hisabati  Afrika yaliyofanyika mwaka huu nchini Cote d’Ivoire, ambapo nchi ilishika nafasi ya tano kati ya nchi 26 zilizoshiriki, imebainika.",[470,473,477,481,485,489,493,497,501,505,509,513],{"type":11,"children":471},[472],{"text":329,"type":19},{"type":11,"children":474,"textAlign":476},[475],{"text":468,"type":19},"justify",{"type":11,"children":478,"textAlign":476},[479],{"text":480,"type":19},"Mwenyekiti wa Chama cha Hisabati Tanzania (TMA/CHAHITA), Dkt. Said Sima, alisema jijini Dar es Salaam Jumapili, tarehe 5 Julai 2026, kuwa wavulana watatu walishinda medali moja kila mmoja huku wasichana watatu wakijishindia medali mbili kila mmoja.",{"type":11,"children":482,"textAlign":476},[483],{"text":484,"type":19},"Ushindi huu unaendelea kuiinua Tanzania kama kinara wa hisabati shule za sekondari, ikiwa imeshinda  medali nne katika Mashindano ya Hisabati ya Afrika (PAMO) ya mwaka 2024 na idadi kama hiyo katika mashindano ya mwaka jana. Dkt. Sima alieleza kuwa Tanzania ilipanda kutoka nafasi ya 10 mwaka 2025 hadi nafasi ya tano mwaka huu.",{"type":11,"children":486},[487],{"text":488,"type":19},"Dkt. Sima alisema wanafunzi hao sita waliowakilisha Tanzania walichaguliwa kupitia majaribio matatu ya tathmini yaliyofuatia Mashindano ya Hisabati ya Tanzania (TAMO) mwishoni mwa mwaka 2025. Watashiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Hisabati (IMO) ya mwaka 2026 yatakayofanyika Shanghai, China, kuanzia tarehe 10 hadi 21 Julai 2026.",{"type":11,"children":490},[491],{"text":492,"type":19},"Wanafunzi watatu walioshinda medali za shaba katika PAMO ni Angel Margaret Zalwango wa Shule ya Sekondari White Lake, Sweetbert John Nene wa Ilboru, na Nyandahu Theophil Leonard wa Shule ya Sekondari Kibaha.",{"type":11,"children":494},[495],{"text":496,"type":19},"Medali za fedha zilikwenda kwa Lightness Pigiliano Ngiliule wa St. Francis, Joyce Pascali Sulumo wa Kilakala, na Arqam Yassir Salim wa Shule ya Rehema Wakfu.",{"type":11,"children":498},[499],{"text":500,"type":19},"Medali nyingine tatu zilikuwa katika kipengele maalum cha PAMO kwa wasichana. Medali hizo zilinyakuliwa na Lightness (dhahabu), Joyce (fedha), na Angel (shaba).",{"type":11,"children":502},[503],{"text":504,"type":19},"TMA/CHAHITA huratibu ushiriki wa Tanzania katika mashindano ya hisabati ya ndani, kikanda na kimataifa. Chama hicho kilianzishwa mwaka 1966 ili kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa hisabati katika ngazi zote za elimu nchini Tanzania.",{"type":11,"children":506},[507],{"text":508,"type":19},"Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilifadhili washiriki hao ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika kukuza masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STUH/STEM) nchini Tanzania. ",{"type":11,"children":510},[511],{"text":512,"type":19},"TCRA inawahimiza wanafunzi wa ngazi zote - kuanzia chekechea hadi chuo kikuu - kuunda na kushiriki katika vilabu vya kidijitali ili kukuza ujuzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) na kupanua uelewa wa masuala ya kidijitali.",{"type":11,"children":514},[515],{"text":516,"type":19},"Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi Peter Mwasalyanda, aliwapongeza wanafunzi kwa utendaji wao mzuri. Alisisitiza uungaji mkono wa Mamlaka kwa matukio yanayochangia uchumi wa kidijitali na wa bluu nchini.","2026-07-31",1.89,"2026-08-01T04:18:54.018Z","2026-08-04T11:00:36.697Z","2026-08-04T11:00:36.742Z",{"id":523,"documentId":524,"url":525,"alternativeText":146,"formats":526,"width":556,"height":557},1943,"msk4wjprzws15ljo3874lns5","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35.jpeg",{"large":527,"small":535,"medium":542,"thumbnail":549},{"ext":149,"url":528,"etag":529,"hash":530,"mime":153,"name":531,"path":284,"size":532,"width":157,"height":533,"sizeInBytes":534},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35.jpeg","3675dee7550d65023effbb56b22c4b3b","large_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35","large_WhatsApp Image 2026-08-03 at 14.21.01 (1).jpeg",86.26,666,86259,{"ext":149,"url":536,"etag":537,"hash":538,"mime":153,"name":539,"path":284,"size":540,"width":166,"height":445,"sizeInBytes":541},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35.jpeg","e6c7a690d8d5817fb32849564f87db75","small_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35","small_WhatsApp Image 2026-08-03 at 14.21.01 (1).jpeg",27.54,27536,{"ext":149,"url":543,"etag":544,"hash":545,"mime":153,"name":546,"path":284,"size":547,"width":175,"height":166,"sizeInBytes":548},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35.jpeg","f4bd5027a9511c8a857cfb79ca7b51d7","medium_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35","medium_WhatsApp Image 2026-08-03 at 14.21.01 (1).jpeg",52.1,52101,{"ext":149,"url":550,"etag":551,"hash":552,"mime":153,"name":553,"path":284,"size":554,"width":191,"height":314,"sizeInBytes":555},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35.jpeg","1265f6eefbaa1a5c8a10eee9071480eb","thumbnail_Whats_App_Image_2026_08_03_at_14_21_01_1_364e08cf35","thumbnail_WhatsApp Image 2026-08-03 at 14.21.01 (1).jpeg",8.96,8958,2560,1706,{"id":559,"documentId":560,"title":561,"slug":562,"introduction":563,"content":564,"publishedDate":613,"readingTime":614,"createdAt":615,"updatedAt":615,"publishedAt":616,"locale":136,"cover":617},6,"edl3qo0l51q5gm32s0t4skda","TCRA yahimiza Kujilinda Mtandaoni kwa Kutumia namba Fupi","tcra-yahimiza-kujilinda-mtandaoni-kwa-kutumia-namba-fupi-sw","MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imehimiza Wananchi, nchi nzima kujilinda na matapeli na wahalifu mtandaoni kwa kutumia namba fupi ambazo Mamlaka hiyo imetengeza ili kuripoti matukio ya kihalifu na kujilinda. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt Jabiri Bakari ametanabaisha hayo wakati wa mahojiano maalum jijini Dar Es S…",[565,569,573,577,581,585,589,593,597,601,605,609],{"type":11,"children":566},[567],{"text":568,"type":19},"MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imehimiza Wananchi, nchi nzima kujilinda na matapeli na wahalifu mtandaoni kwa kutumia namba fupi ambazo Mamlaka hiyo imetengeza ili kuripoti matukio ya kihalifu na kujilinda.",{"type":11,"children":570},[571],{"text":572,"type":19},"Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt Jabiri Bakari ametanabaisha hayo wakati wa mahojiano maalum jijini Dar Es Salaam jana akisema kwa Taasisi hiyo ipo kwenye jukumu la kueneza elimu kwa watumiaji na umma kuhusu namna bora ya kujilinda na wahalifu wanapo endelea kunufaika na fursa zitokanazo na mitandao.",{"type":11,"children":574},[575],{"text":576,"type":19},"Dkt. Jabiri amebainisha kwamba Maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano na kuenea kwa huduma zilizowezeshwa kwa mifumo ya Kidijiti vimeongeza kasi ya maendeleo na ufanisi katika upatikanaji wa huduma kwahiyo ulinzi kwa watumiaji ni jambo la msingi. ",{"type":11,"children":578},[579],{"text":580,"type":19},"Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni msingi mkuu wa mfumo wezeshi kwende sekta zote, ikiwemo huduma za Kiposta na Uasifirishaji wa vifulushio na vipeto, Utangazaji, huduma za simu na intaneti yakiwemo maeneo mengine pamoja na kilimo, utalii, fedha, elimu, matibabu, usafiri na usafirishaji na uchimbaji madini.",{"type":11,"children":582},[583],{"text":584,"type":19},"TCRA imewakumbusha watumiaji wanaopigiwa simu au kutumiwa meseji zozote zinazoashiria utapeli kutuma namba hiyo ya tapeli kwa ujumbe mfupi (SMS) kwenda namba 15040 BURE ambayo ni ya bure ili namba ya tapeli ifungiwe.",{"type":11,"children":586},[587],{"text":588,"type":19},"Aidha, amekumbusha kwamba watumiaji wasikubali kutii maelekezo yeyote kutoka kwa mtu aliyewapigia na namba ya simu binafsi na kujitambulisha kuwa ni Mtoa Huduma wa mtandao. Watumiaji wamekumbushwa kuwa namba ya huduma kwa wateja ni 100 pekee. ",{"type":11,"children":590},[591],{"text":592,"type":19},"Watumiaji pia wanakumbushwa kutokujibu ujumbe kwa njia ya simu au barua pepe unaowataarifu kuwa wameshinda bahati nasibu wakati hawajashiriki kwenye mchezo wowote wa aina hiyo. Wanaelekezwa kuufuta.",{"type":11,"children":594},[595],{"text":596,"type":19},"Kampeni hiyo pia inaeleza namna ya kuhakiki idadi ya laini za simu zilizosajiliwa kibaometria kwa namba ya kitambulisho cha cha taifa cha mtumiaji kwa kubofya *106#, ambapo wanatakiwa kuripoti kwa watoa huduma wao wanapogundua namba wasizozitambua ili zifutwe. ",{"type":11,"children":598},[599],{"text":600,"type":19},"Sekta ya Mawasiliano imepata maendeleo makubwa ambapo takwimu za Desemba 2025 za hali ya mawasiliano Tanzania zinaonesha akaunti za pesa kupitia simu za mkononi zimefikia 76,466,691. Laini zilizotumia huduma za intaneti zilizongezeka kwa asilimia 3.2 kati ya Septemba na Desemba 2025, kutoka 56,322,287 hadi 58,106,264.",{"type":11,"children":602},[603],{"text":604,"type":19},"TCRA inasisitiza kwamba watumiaji wasitekeleze na wasitoe taarifa zao kabla ya kujidhihirisha kwamba wanaowasiliana nao ni watu sahihi na sio matapeli.",{"type":11,"children":606},[607],{"text":608,"type":19},"Ripoti ya hali ya mawasiliano Tanzania kufikia Desemba inasema ingawaje matukio na majaribio ya ulaghai yaliyoripotiwa kwenye mitandao ya simu yalipungua, kushuka kwa asilimia 24 kati ya Septemba na Desemba 2025, bado kuna wahalifu wanaondelea na utapeli. Yalipungua kutoka 12,475 hadi 9,450 kipindi hicho.",{"type":11,"children":610},[611],{"text":612,"type":19},"Kwa ujumla, matukio ya ulaghai yamepungua kwa asilimia 150 kati ya Septemba 2023 na Desemba 2025, kutoka matukio 23,328 hadi 9,450. Hata hivyo, licha ya hali hiyo, mikoa ya Rukwa na Morogoro imeendelea kuongoza kwa matukio mengi zaidi ya ulaghai.","2026-03-10",2.23,"2026-03-11T07:13:37.000Z","2026-06-02T23:38:14.320Z",{"id":618,"documentId":619,"url":620,"alternativeText":146,"formats":621,"width":651,"height":652},16,"lt8ybk9bza3dzw0cmu2h8tjy","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg",{"large":622,"small":630,"medium":637,"thumbnail":644},{"ext":149,"url":623,"etag":624,"hash":625,"mime":153,"name":626,"path":284,"size":627,"width":157,"height":628,"sizeInBytes":629},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","9d2b7ee34b3e582d7abb866a3e41ea3c","large_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","large_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",77.11,562,77113,{"ext":149,"url":631,"etag":632,"hash":633,"mime":153,"name":634,"path":284,"size":635,"width":166,"height":167,"sizeInBytes":636},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","b6ab770cdb07009d90aae3a706e62bae","small_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","small_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",29,29004,{"ext":149,"url":638,"etag":639,"hash":640,"mime":153,"name":641,"path":284,"size":642,"width":175,"height":176,"sizeInBytes":643},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","f81b59ace6f1b395bc486e5c90dba50b","medium_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","medium_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",51.6,51596,{"ext":149,"url":645,"etag":646,"hash":647,"mime":153,"name":648,"path":284,"size":649,"width":184,"height":185,"sizeInBytes":650},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","ab2a7b64ee19cc5b0485870765eb4fe0","thumbnail_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","thumbnail_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",9.31,9308,1830,1029,{"id":654,"documentId":655,"title":656,"slug":657,"introduction":658,"content":659,"publishedDate":719,"readingTime":720,"createdAt":721,"updatedAt":722,"publishedAt":723,"locale":136,"cover":724},12,"mlpqkv5wgbo76u7zgcqn6yn4","TCRA yasukuma Mageuzi Sekta ya Posta","tcra-yasukuma-mageuzi-sekta-ya-posta","Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapitia upya mfumo wa kisheria na usimamizi wa sekta ya Posta ili kuwezesha uanzishwaji wa aina mpya za biashara, imefahamika. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt Jabiri Bakari amesema hatua hiyo inaenda sambamba na kuhakikisha uzingatiaji wa viwango vya ubora wa hudu…",[660,663,667,671,675,679,683,687,691,695,699,703,707,711,715],{"type":11,"children":661},[662],{"bold":57,"text":329,"type":19,"italic":57},{"type":11,"children":664},[665],{"text":666,"type":19},"MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapitia upya mfumo wa kisheria na usimamizi wa sekta ya Posta ili kuwezesha uanzishwaji wa aina mpya za biashara, imefahamika.",{"type":11,"children":668},[669],{"text":670,"type":19},"Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt Jabiri Bakari amesema hatua hiyo inaenda sambamba na kuhakikisha uzingatiaji wa viwango vya ubora wa huduma na kuhakikisha uendelevu wa sekta kwa muda mrefu.",{"type":11,"children":672},[673],{"text":674,"type":19},"Ameeleza kuwa TCRA inatambua kwamba ukuaji endelevu wa shughuli za posta na usafirishaji vifurushi unatakiwa kuimarishwa na kanuni imara zinazozingatia masuala ya jamii, mazingira na utawala. ",{"type":11,"children":676},[677],{"text":678,"type":19},"“Kujumuisha masuala haya katika mfumo wa usimamizi ni muhimu ili kuhakikisha kuwa sekta inaendelea kuwa stahimilivu, jumuishi na inayokabiliana na changamoto zinazojitokeza kwenye teknolojia, uchumi na mazingira”, Dkt Bakari ameeleza.",{"type":11,"children":680},[681],{"text":682,"type":19},"Dr Bakari ameielezea sekta ya posta kama mwezeshaji muhimu wa uchumi wa kidijitali Afrika kupitia matumizi ya TEHAMA kutokana na nafasi yake kwenye kufanikisha biashara mtandao. ",{"type":11,"children":684},[685],{"text":686,"type":19},"“Kadri biashara ya mtandaoni inavyoendelea kupanuka, Sekta ya Posta ina majukumu muhimu katika kuunganisha biashara na watumiaji, kuwezesha biashara mipakani, na kuhakikisha kuwa vitu vya posta vinafikishwa kwa uhakika kwa wenyewe, hasa walioko vijijini na jamii kwenye maeneo yasiyofikiwa na huduma kikamilifu.”",{"type":11,"children":688},[689],{"text":690,"type":19},"Aidha ameongeza kuwa sekta ya Posta inaendelea kubaki kwenye nafasi ya kipekee ya kuwezesha ukuaji jumuishi kwa kuunganisha watu, biashara na masoko. ",{"type":11,"children":692},[693],{"text":694,"type":19},"Ubia wa kimkakati wa taasisi za serikali, kampuni binafsi zinazotoa huduma za usafirishaji vifurushi, mifumo ya kidijitali, na washirika wa maendeleo, sekta ya posta vinaweza kufungua fursa mpya kwa biashara ndogo na za kati, kuboresha uvumbuzi, na kuwezesha ukuaji wa uchumi wa kidijitali, ameeleza.",{"type":11,"children":696},[697],{"text":698,"type":19},"Dkt Bakari ameainisha vipaumbele vya TCRA katika kuendeleza sekta ya posta, ambayo imekumbana na changamoto mbalimbali miaka ya hivi karibuni. Hizi ni pamoja na kupungua kwa vitu vinavyosafirishwa chini ya mfumo wa kawida wa utoaji huduma za posta.",{"type":11,"children":700},[701],{"text":702,"type":19},"Ameeleza kuwa pamoja na changamoto zilizojitokeza, huduma za posta bado ni muhimu sana kwa maendeleo ya Tanzania. ",{"type":11,"children":704},[705],{"text":706,"type":19},"TCRA inaendeleza utunzaji wa mazingira kwa kuhimiza matumizi bora ya njia za kusafirisha vifaa na kutumia vyombo vya usafiri vinavyotumia nishati kwa ufanisi na ambavyo havitoi hewa chafu. Vilevile inaweka kipaumbele katika upatikanaji wa huduma za posta kwa wote. ",{"type":11,"children":708},[709],{"text":710,"type":19},"Dkt Bakari amesisitiza dhamira ya TCRA kuendeleza ushirikiano wa kikanda na uzingatiaji wa masuala ya pamoja kwenye usimamizi kupitia taasisi za kikanda na kimataifa zinazojihusisha na mawasiliano. Hizo ni pamoja na PAPU, Umoja wa Mawasiliano Afrika Mashariki (EACO) na Chama cha Wasimamizi wa Mawasiliano Kusini mwa Afrika (CRASA). ",{"type":11,"children":712},[713],{"text":714,"type":19},"Ushirikiano huu unawezesha kushinda changamoto zilizoko kipindi hiki na kujenga dunia ambapo ubadilishanaji wa bidhaa na taarifa hautambui mipaka, ameongeza.",{"type":11,"children":716},[717],{"text":718,"type":19},"Vilevile amewahimiza wadau wengine wa sekta ya posta kuwezesha huduma za posta kuwa za kiubunifu zaidi, salama, za kuaminika, nafuu na zinazofaa wananchi. ","2026-01-28",2.16,"2026-01-29T04:32:51.000Z","2026-01-29T07:52:17.000Z","2026-06-02T23:38:16.650Z",{"id":725,"documentId":726,"url":727,"alternativeText":146,"formats":728,"width":652,"height":757},17,"h1mdlmq5lop04qmkhcm4qn7o","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg",{"large":729,"small":736,"medium":743,"thumbnail":750},{"ext":149,"url":730,"etag":731,"hash":732,"mime":153,"name":733,"path":284,"size":734,"width":157,"height":158,"sizeInBytes":735},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","ee61c8adb54627b841b18b8230be2cd2","large_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","large_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",72.68,72682,{"ext":149,"url":737,"etag":738,"hash":739,"mime":153,"name":740,"path":284,"size":741,"width":166,"height":167,"sizeInBytes":742},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","6bcd549c72c5af61f069b01ffd735ba8","small_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","small_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",26.43,26428,{"ext":149,"url":744,"etag":745,"hash":746,"mime":153,"name":747,"path":284,"size":748,"width":175,"height":176,"sizeInBytes":749},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","190075917ac65f9e468f6db7d048a008","medium_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","medium_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",48.38,48381,{"ext":149,"url":751,"etag":752,"hash":753,"mime":153,"name":754,"path":284,"size":755,"width":184,"height":185,"sizeInBytes":756},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","e8592a323387b29c4b90b843e688279a","thumbnail_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","thumbnail_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",8.47,8468,579,{"id":759,"documentId":760,"title":761,"slug":762,"introduction":761,"content":763,"publishedDate":775,"readingTime":776,"createdAt":777,"updatedAt":778,"publishedAt":779,"locale":136,"cover":780},18,"tov7ukamz87egmbbgcvibq0o","SIMU JANJA ZAONGEZEKA - FURSA UCHUMI WA KIDIJITI","simu-janja-zaongezeka-fursa-uchumi-wa-kidijiti",[764,768],{"type":11,"children":765},[766],{"text":767,"type":19},"",{"type":11,"children":769},[770],{"url":771,"type":15,"children":772},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/attachments/en_1765781866_Digital_Opportunities_on_Surge_9281f9e769.pdf",[773],{"text":774,"type":19},"en-1765781866-Digital Opportunities on Surge","2025-12-14",0.02,"2025-12-15T00:57:46.000Z","2026-07-27T21:47:07.552Z","2026-06-02T23:38:44.395Z",{"id":759,"documentId":781,"url":782,"alternativeText":146,"formats":783,"width":815,"height":816},"vgrp0vvvjxalg11y7ey6xi52","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/default_image_3c9bacf365.png",{"large":784,"small":794,"medium":801,"thumbnail":808},{"ext":785,"url":786,"etag":787,"hash":788,"mime":789,"name":790,"path":791,"size":792,"width":157,"height":158,"sizeInBytes":793},".png","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/large_default_image_3c9bacf365.png","1c9c0b23e688bc6b237143b33f85d3a5","large_default_image_3c9bacf365","image/png","large_default-image.png","2025/mamlaka-website/news/covers",1087.49,1087491,{"ext":785,"url":795,"etag":796,"hash":797,"mime":789,"name":798,"path":791,"size":799,"width":166,"height":167,"sizeInBytes":800},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/small_default_image_3c9bacf365.png","19a87465d52f16454657438f278d36b7","small_default_image_3c9bacf365","small_default-image.png",306.99,306989,{"ext":785,"url":802,"etag":803,"hash":804,"mime":789,"name":805,"path":791,"size":806,"width":175,"height":176,"sizeInBytes":807},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/medium_default_image_3c9bacf365.png","0514aab915596d25ec66ce380cbba1cb","medium_default_image_3c9bacf365","medium_default-image.png",662.16,662164,{"ext":785,"url":809,"etag":810,"hash":811,"mime":789,"name":812,"path":791,"size":813,"width":184,"height":185,"sizeInBytes":814},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_default_image_3c9bacf365.png","b81b90651abe883178e65091bb6f1867","thumbnail_default_image_3c9bacf365","thumbnail_default-image.png",81.97,81966,1024,576,{"id":818,"documentId":819,"title":820,"slug":821,"introduction":820,"content":822,"publishedDate":833,"readingTime":776,"createdAt":834,"updatedAt":835,"publishedAt":836,"locale":136,"cover":837},24,"wrwi78zpdmfgk4ryphkz8o6s","DIGITAL REVOLUTION: 99M SUBSCRIPTIONS POWER ECONOMIC TRANSFORMATION","digital-revolution-99m-subscriptions-power-economic-transformation-sw",[823,826],{"type":11,"children":824},[825],{"text":767,"type":19},{"type":11,"children":827},[828],{"url":829,"type":15,"children":830},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/attachments/en_1763724243_Digital_Revoluton_Article_ba08c99ea5.pdf",[831],{"text":832,"type":19},"en-1763724243-Digital Revoluton Article","2025-11-20","2025-11-21T05:24:03.000Z","2026-07-27T21:47:07.960Z","2026-06-02T23:38:56.733Z",{"id":759,"documentId":781,"url":782,"alternativeText":146,"formats":838,"width":815,"height":816},{"large":839,"small":840,"medium":841,"thumbnail":842},{"ext":785,"url":786,"etag":787,"hash":788,"mime":789,"name":790,"path":791,"size":792,"width":157,"height":158,"sizeInBytes":793},{"ext":785,"url":795,"etag":796,"hash":797,"mime":789,"name":798,"path":791,"size":799,"width":166,"height":167,"sizeInBytes":800},{"ext":785,"url":802,"etag":803,"hash":804,"mime":789,"name":805,"path":791,"size":806,"width":175,"height":176,"sizeInBytes":807},{"ext":785,"url":809,"etag":810,"hash":811,"mime":789,"name":812,"path":791,"size":813,"width":184,"height":185,"sizeInBytes":814}]