Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Kuwe Bakari, katika kuadhimisha Siku ya Shirika la Mawasiliano Afrika (ATU), tarehe 7 Desemba 2022.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.