Mwanzo
Kuhusu
Huduma
Viunganishi
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Habari

Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 6 Septemba, 2021

Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 6 Septemba, 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 6 Septemba, 2021

1.  Jina la Mmiliki wa Leseni: Mkulima Power House Limited (Shamba FM Radio)
Aina ya Leseni: Content Services (Commercial Broadcasting Services Free to Air Radio)  
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021

2.  Jina la Mmiliki wa Leseni: Smartx Limited
Aina ya Leseni: National Application Services Licence      
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021

3.  Jina la Mmiliki wa Leseni: Valley Pay Company Limited
Aina ya Leseni: National Application Services Licence      
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021

4. Jina la Mmiliki wa Leseni: Onmobile Tanzania Telecom Limited
Aina ya Leseni: National Application Services Licence      
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021