JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni tarehe 11 Februari, 2020.
Shindano la Kitaifa la Usalama Mtandaoni linalohusisha Vyuo Vikuu nane (Tanzania Bara na Visiwani), linaandaliwa na TCRA kwa kushirikiana na Silensec na kufanyika UDOM tarehe 20 Desemba 2019.
kampeni ya kutoa elimu kwa wananchi katika maeneo ya masoko au minada kupitia kampeni ya Mnada kwa Mnada: Karibu Tukuhudumie
Ziara ya Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje kutembelewa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 16 Agosti, 2019
Ziara ya Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 9 Agosti 2019.
Ziara ya Bodi na Menejimenti ya TCRA Kutembelea Mradi wa kufua umeme mto Rufiji tarehe 29 Julai, 2019
Ziara ya Bodi na Menejimenti ya TCRA kutembelea Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salamm inayotumia mifumo ya kielektroniki na kutembelea Ujenzi wa Kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere Terminal 3 tarehe 21 Juni, 2019.
Uzinduzi wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa TCRA katika Ukumbi wa Dodoma Convention centre tarehe 8 Mei, 2019
TCRA Kutembelea Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kasi (SGR) na kuahidi kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuweka mifumo bora ya kisasa ya Mawasiliano kwa usalama wa abiria na Ufanisi wa reli hiyo tarehe 16 Aprili 2019.2019
=
Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.

Tuma Mrejesho na Malalamiko!