JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Haki za Watumiaji

 •  Kupata huduma nzuri
 • Kupata taarifa kuhusu huduma na bidhaa
 • Kutokubaguliwa
 • Kutoa malalamiko
 • Kusuluhishiwa malalamiko yao yote
 • Uhakikisho wa usalama kwenye bidhaa na huduma wanazozinunua
 • Faragha na usiri wa mtumiaji
 • Kuelimishwa
 • Kuarifiwa kabla ya kusimamishwa au kusitishwa kwa huduma
 • Kuwakilishwa
 • Kupewa taarifa sahihi kwenye ankara
 • Kukata rufaa katika kesi ya kutokuridhika na huduma

Wajibu wa Watumiaji

 • Kulipa ankara kwa wakati
 • Kulinda mazingira kwa kuepuka kutupa vifuniko vya simu, kadi au vifaa vingine vilivyotumika ovyo
 • Kugundua na kuripoti udhaifu katika utoaji  wa huduma
 • Kusaidia udhibiti wa habari kwa kuripoti makosa ya mawasiliano
 • Kulinda vifaa na miundombinu ya mawasiliano
 • Kutumia huduma zilizokubaliwa kwa haki
 • Kuheshimu uhuru wa wengine kwa kutokusumbua
 • Kuzingatia sheria na kanuni

Kusoma zaidi bofya hapa

Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.

Tuma Mrejesho na Malalamiko!