TCRA imeandaa Mkataba wa Huduma kwa Mteja (Client Service Charter) kwa lengo la kuboresha huduma na kutekeleza majukumu yake kwa uwazi ili kutimiza dhana ya uwajibikaji. Mkataba huu unabainisha huduma zinazotolewa na TCRA pamoja na viwango vyake; uhusiano ambao TCRA inataka kuukuza kati ya watumishi na wateja; na haki na wajibu wa mteja kuhusiana na huduma zinazotolewa ili kukidhi matarajio ya wateja na wadau. Bofya hapa kufungua