TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Dira, Dhima & Mamlaka

Misingi yetu ya uongozi na mamlaka ya kisheria.

Dira

Jamii iliyowezeshwa na huduma jumuishi na endelevu za mawasiliano.

Dhima

Kusimamia huduma za mawasiliano kwa ustawi wa Jamii ya Watanzania.

Mamlaka

Wajibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni kusimamia sekta ya mawasiliano na kielektroni na posta kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Namba 12 ya mwaka 2003.