TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Sera ya Ubora

Ahadi yetu ya kutoa huduma bora.

Kama msimamizi wa sekta ya mawasiliano Tanzania, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imedhamiria kuweka mazingira wezeshi kwa watoa huduma, kutoa rasilimali kwa ajili ya kuimarisha na kuboresha mfumo wake wa Usimamizi wa Ubora, ili kuhakikisha huduma bora na za gharama nafuu zinawafikia watumiaji, huku ikizingatia mahitaji yote ya kisheria na usimamizi.