TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Malengo ya Kimkakati

Mwelekeo wetu katika kuendeleza sekta mawasiliano nchini Tanzania.

  1. Kukuza miundombinu na mifumo ya mawasiliano yenye salama imara na ustahimilivu;
  2. Kuongeza upatikanaji na ubora wa huduma za mawasiliano kwa gharama nafuu;
  3. Kukuza uvumbuzi kwenye huduma za mawasiliano
  4. sambamba na ushirikishwaji wa wadau; na
  5. Kuimarisha uwezo wa taasisi.