Weledi
Tunatekeleza majukumu yetu kwa uwazi na kutoa huduma bora huku tukidumisha uadilifu na heshima kwa wateja wetu.
Ubunifu
Tunaweka kipaumbele katika ubunifu na uvumbuzi na uboreshaji endelevu katika mausala ya usimamizi sanjari na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia.
Ushirikiano
Tunaamini katika utendaji wa pamoja na mashirikiano ili kufikia malengo yaliyokusudiwa, tukitambua kuwa mawasiliano bora na ya kujenga ni msingi wa mazingira ya kazi yenye tija na uwajibikaji.
Uepesi wa Kujirekebisha
Tupo tayari kubadilika kwa haraka na kuendana na teknolojia mpya zinazoibukia pamoja na changamoto za udhibiti katika Sekta ya Mawasiliano.



