Kwea Kidijitali Na Matumizi Ya Kasi Ya Intaneti

“TEHAMA ni msingi wa Uchumi wa Kidijitali na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda; tuchangamkie fursa za kiuchumi na uwekezaji zinazopatikana kwenye anga la Mtandao “…Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari.
Bofya link kutazama Ujembe wa Mkurugenzi Mkuu;- Kwea Kidijitali na Matumizi ya Kasi ya Intaneti