JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 30 Julai na Tarehe 2 Agosti, 2021


Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 30 Julai na Tarehe 2 Agos...

 

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 30 Julai na 2 Agosti, 2021

1.  Jina la Mmiliki wa Leseni: Elipa (TZ) Limited
Aina ya Leseni: National Application Services        
Tarehe ya Leseni Kutoka: 30 Julai, 2021

2.Jina la Mmiliki wa Leseni: Viettel Ecommerce Limited
Aina ya Leseni: National Application Services        
Tarehe ya Leseni Kutoka: 2 Agosti, 2021

Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.

Tuma Mrejesho na Malalamiko!